RAIS KIKWETE AZINDUA SERA MPYA YA ELIMU NA MAFUNZO

 Rais Jakaya Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014, katika hafla iliyofanyika katika Shule ya Sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Wa pili kushoto ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadik. (PICHA NA FREDDY MARO)
Rais Jakaya Kikwete, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi Dk.Shukuru Kawambwa, Naibu Waziri wa Elimu na Ufundi, Kassim Majaliwa wakiangalia jaribio la Sayansi lililokuwa likifanywa na mwanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Kata ya Majani ya Chai Kipawa jijini Dar es Salaam leoa.Awali Rais Kikwete alizindua maabara za sayansi katika shule hiyo na baadaye alizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.