SITTI MTEMVU AGUSWA NA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU DODOMA

Tukio hilo limetokea mapema leo,kwenye kituo cha kulelea watoto kilichopo chang'ombe mjini Dodoma,ndipo ambapo mlimbwende huyo aliposhikwa na butwaa na kujawa na hudhuni na mmoja kati ya watoto waliopo kituoni hapo,akajikuta akimbeba mtoto huyo kama inavyoonekana hapo juu pichani,hali hyo ilipelekea kila mmoja aliefika eneo hilo la kituo cha watototo kujawa na huruma na kuguswa ,kiukweli huyu ni miss ambaye ana hofu ya Mungu na huruma ya aina yake juu ya kusaidia wasiojiweza ama waishio katika mazingira magumu,ni mfano wa kuigwa kwa kila mwananchi au yoyote yule aliepewa dhamana ya kuelimisha jamii ama kufanya kitu kikawa mfano kwa jamii iliyomzunguka,vile vile ametoa msaada wa sabuni nyingi za kutosha kituo kizima yaani katoni za miche ya sabuni!!!Pamoja na PESA taslim Laki nne 4,00,000/= na vyote hivyo vimetokana na kipato chake mwenyewe ambacho ameamua kugawana na jamii inayomzunguuka bila msaada wa mtu wala kampuni yoyote..........hakika huu ndo ule mfano wa kuigwa!!!!2015 KUWA MFANO!!! 

 Story By Winston Makangale at 97.7 NYEMO FM DODOMA.



No comments:

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.