WENGI WAHUDHURIA MAZISHI YA CHRISTOPHER ALEX DODOMA

 Mamia ya waombolezaji wakiwawamebeba sanduku lililokuwa na mwili aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba na Taifa Stars Marehemu Christopher Alex wakati akienda kuuzika katika makaburi ya Nkhungu
Dodoma.
 Mtoto Wa Marehemu Christopher Alex Asnat Christopher akilia kwa uchungu wakati alipokuwa akipita mbele ya jeneza la Marehemu Babayake.
 wachezaji wa waliopata kuwika miaka ya 2003 pamoja na Marehemu Christopher Alex 'Masawe' Ulimboka Mwakingwe, Juma kaseja, Boniface Pawassa, na Aman Mbaruku wakipita mbele ya jeneza
lililokuwa na mwili wa  Christopher Kabla ya Mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nkhungu, Dodoma
 Mchezaji wa zamani ya CDA ya Dodoma Juma Ikaba, Juma kasejaaliyewahi kuichezea timu ya simba na Meneja wa Timu ya Polisi Dodoma wakite jambo walipokuwa katika msiba wa Marehemu Christopher Alex
aliyezikwa jana mjini Dodoma.
  Juma Kaseja Katikati mwenye Furana Nyekundu ambaye jana aligeuka
kituko kwa kukata kumshika mkono Mama yake na marehemu huku akiwa
amevalia kofia upande na kusababisha miguno toka kwa waombolezaji,
wakati Mwili wa aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba miaka ya 2003
ulipokuwa ukiagwa nyumbani kwa mama yake Bandeko Dodoma akiwa na
Ulimboka Mwakingwe, Bonface Pawasa na Amani Simba
  Mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba Ally Sullu akipita mbele
ya Sanduku lililokuwa na mwili wa Marehemu Alex Christopher kabla ya
mazishi jana
 Mchezaji wa zamani wa Simba Amani Mbaruku akimnyamazisha
mchezaji waliocheza nae Miaka hiyo ya 2003 Boniface Pawasa
aliyeshindwa kujizuia kwenye msiba wa aliyekuwa mchezaji wa timu hiyo
Christopher Alex.

Pawasa akilekebisha jeneza

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.