KOMREDI KINANA AFANYA ZIARA VISIWA VYA IRUGWA, UKARA WILAYANI UKEREWE

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi alipowasili kwa kivuko cha MV Mkombozi katika Kisiwa cha Irugwa, Kata ya Irugwa, wilayani Ukerewe, mkoani Mwanza jana.
 Komredi Kinana akihutubia katka mkutano wa hadhara usiku katika Kisiwa cha Ukara, wilayani Ukerewe, Mwanza.

 Wananchi wakimpungia mkono Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Kinana aliyewasili katika Kisiwa cha Irugwa.

  Komredi Kinana akitembea kwa miguu kwenda kupanda bodaboda kwenda kwenye mkutano wa hadhara katika Kisiwa cha Irugwa.
 Komredi Kinana (nyuma) pamoja na viongozi wengine wa chama hicho wakisafiri kwa bodaboda kwenda kwenye mkutano katika Kisiwa cha Irugwa ambacho hakina hata gari moja.
 Komredi Kinana akisalimiana na baadhi ya wauguzi wa Zahanati ya Kijiji cha Irugwa alipokwenda kushiriki ujenzi wa jengo la zahanati hiyo.
 Komredi Kinana akiweka zege kwenye rinta katika moja ya majengo ya zahanati ya Kijiji cha Irugwa  iliyopo katika kisiwa hicho, ambapo aliendesha harambee ya michango ya fedha ya kununua  mabati na saruji ya kumalizia ujenzi wa jengo hilo, kazi ambayo alifanikisha.
 Komredi Kinana akiwshuka baada ya kushi












Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.