PINDA AKUTANA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA MAREKANI, APOKEA GARI LA WAGONJWA

MIZ1
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya  Sayed Corporation Limited  kwa ajili ya hospitali ya  Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood  ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam .  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MIZ2
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani, Ofisi kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje,Liberata Mulamula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MIZ3
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikikiano wa Kimataifa, Liberata Mulamula.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI