JITOKEZENI KUMPIGIA KURA DIAMOND

Ni neema nyingine kwa Diamond na Vanessa Mdee baada ya kutajwa  kuwania tuzo za MTV MAMA za nchini Africa Kusini zinazotarajiwa kufanyika leo usiku huko Durban, Afrika Kusini, hivi karibuni  wasanii wametajwa tena kuwania tuzo zinazojulikana kama African Entertainment Awards (AEA) za nchini Marekani.
Kwenye tuzo hizo za  African Entertainment, Diamond Platnumz ametajwa katika vipengele  viwili ikiwa ni kipengele cha Hottest Male single of the Year na wimbo wake wa ‘Ntampata wapi’ unaoshindana na wimbo wa Aye wa Davido, Originally wa Fally Ipupa, Get Low wa DellonFrancis na Lobiwa R2bees.
Kipengele kingine anachowania Diamond ni cha Best Male Artist of the Year akishindana na Fally Ipupa, eddy Kenzo, Wizkid na Sarkodie.…

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.