KAMANDA MPINGA AFUNGUA NUSU FAINALI MASHINDANO YASOKA YA BODABODA (MPINGA CUP)

 Kamanda wa Kikosi cha Polisi cha Usalama Barabarani nchini, Mohamed Mpinga akiwasalimia kwa kuonesha vidole baada ya kuzikagua timu za Foma na Mtongani katika mchezo wa nusu fainali ya michuano ya mpira wa miguu ya timu za Bodaboda ya Mpinga Cup, Mkoa wa Kipolisi wa Temeke, kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo.Lengo la mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 108 ni kutoa elimu ya usalama barabarani kwa Bodaboda. Kushoto kwake ni Msimamizi wa mashindano hayo, Mrakibu Msaidizi wa Polisi,Mbunja Matibu. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mchezaji wa timu Foma (kushoto) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya Mtongani

Ni heka heka katika lango la timu ya Foma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.