PICHA ZA AJALI YA TRENI ILIYOTOKEA MKOANI DODOMA


tr

Hii post ni maalum kwa ajili ya kuujua ukweli baada ya ajali ya Treni iliyotokea kwenye tarafa ya Kikombo Dodoma ambapo mabehewa manne ya Treni hii ya abiria kutoka bara kwenda Dar es salaam yaliacha njia.
Kamanda wa Polisi Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi David Misime amesema saa tatu na dakika 45 asubuhi, mabehewa manne yaliacha njia na kusababisha ajali lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa.

tr2Amesema chanzo cha ajali hakijafahamika ila ajali imetokea wakati treni ikiwa kwenye mwendo katika stesheni ya Kikombo kuelekea kusimama, injini na Mabehewa hayo yakiwa kwenye mwendo yalihama njia ambapo July 29 2015 zilifanyika jitihada za kufaulisha abiria katika mabehewa mengine pamoja na kuunga injini nyingine ili safari   .
 tr3

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI