RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO WA MODENAIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO


1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kwenye jarida la Mpango wa Modenaizesheni 
ya Sekta ya Mifugo baada ya kuuzindua mpango huo leo Jumatatu Julai 20, 2015
3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha na maafisa waandamizi wa Wizara ya Mifugo baada ya kuzindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015
4
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na jamii ya wafugaji wa kabila la Kimaasai baada ya kuzindua  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. Pamoja naye ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Mhe. Raila Odinga ambaye yupo nchini kwa ziara binafsi.
6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na Dkt. Kaush Arha baada ya kuongea katika uzinduzi wa  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
7
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. 
8
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipatiwa maelezo kuhusu miradi ya maendeleo ya Wizara yaMifugo kutoka kwa mmoja wa maafisa waandamizi wa wizara hiyo wakati  Mpango wa Modenaizesheni  ya Sekta ya Mifugo leo Jumatatu Julai 20, 2015. hata hivyo Rais alionesha kutofurahishwa na utendaji wa Wizara hiyo na kuwataka watendaji wake wabadilike kimawazo kwa kutenda kazi kwa njia za kisasaili kuiendeleza sekta hiyo muhimu kwa haraka.PICHA NA IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI