WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU MBILI WA MAJADILIANO KUHUSU UBORESHAJI WA MFUMO WA USIMAMIZI NA UENDESHAJI MAENEO YA JUMUIA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA, ULIOANZA JANA JULAI 2, 2015, JIJINI ARUSHA

Imetayarishwa na theNkoromo Blog
 WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha.
 WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana mdau wa masuala ya uhifadhi na utalii Willy Chambulo, alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha.
 WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana Julai 2, 2015, katika hotel ya Naura Spring, jijini Arusha.
  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akifuatilia majadiliano wakati wa mkutano wa wadau na viongozi wa Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ulioanza jana jijini Arusha.

 Waziri Nyalandu akizungumza na wadau wa Maliasili ya Utalii nje ya ukumbi
 Wadau wakiwa kwenye Mkutano huo. Hotuba ya Waziri Nyalandu kwenye mkutano huo, tafadhali>BOFYA HAPA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI