MGOMBEA MWENZA -CCM MAMA SAMIA SULUHU HASSAN APIGA KAMPENI SIRARI MKOANI MARA LEO Inbox


Mgomea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgombea Ubunge jimbo la Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akifurahia Mcheza Ngoma alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Musoma, kuendelea na ziara za mikutano ya kampeni katika mkoa wa Mara leo.
Wananchi wakionyesha bango kutaka Sirari kuwa Mamlaka ya Mji Mdogo, wakati wa mutano wa kampeni uliofanyika katika eneo hilo mkoani Mara.
Wananchi wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeniuliofanyika Sirari, mkoani Mara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akiwanadi wagombea Ubunge, wa majimbo ya Tarime, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sirari mkoani Mara. Kulia ni Chrisopher Kangoye (Tarime Vijijini) na kushoto ni Michael Kimbaki (Tarime Mjini).
Msanii wa Bongo Movie, maarufu kwa jina la Bi Mwenda, akihamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo, Sirari mkoani Mara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimwelekeza jambo, Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Mjini, Michael Kimbaki, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Sirari mkoani Mara. Kulia ni Mgombea Ubunge jimbo la Tarime Vijijini, Chrisopher Kangoye
Wananchi wakipiga 'Push Up' kumuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassa, uliofanyika Sirari mkoani Mara.Picha na Bashir Nkormo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI