TAARIFA ZA TAKWIMU SASA KUWEKWA HADHARANI ILI WANANCHI WATOE MAONI YAO JUU YA MAENDELEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto), akihutubia wakati akifungua mkutano wa wadau wa takwimu wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam.
 Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa wadau wa maendeleo Endelevu (SDG’S) ambao shabaha yake kubwa iliukuwa kuweka mifumo ya namna ya kutekeleza mpango huo leo jijini Dar es Salaam
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Profesa Adolph Mkenda akizungumza katika mkutano wadau wa maendeleo Endelevu leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya viongonzi mbarimbari na wananchi walio hudhulia mkutano huo leo jijini Dar es Salaa.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii) --- Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa serikali imesema itakusanya takwimu na kuchapisha taarifa kwenye mitandao ya kijamii ili wananchi waweze kutoa maoni juu ya maendeleo ya Taifa lao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI