HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais wa kampuni ya Dangote ameipongeza serikali na wananchi kwa kubadilisha serikali kwa amani jambo ambalo litazidi kuvutia wawekezaji. https://youtu.be/2aeczjzHpsY

SIMU.TV: Watoto zaidi ya 40 wenye ugonjwa wa mdomo sungura kufanyiwa upasuaji baada ya kupata ufadhili wa kampuni ya Geita Gold mine; https://youtu.be/2IMVZvEzd4c

SIMU.TV: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Geita amesema hatasita kuwafukuza kazi watumishi wanaokataa kwenda kufanya kazi vijijini; https://youtu.be/wuyLttIDxlM

SIMU.TV: Mmoja wa Walionusurika katika Migodi ya Tanzanite arusha amefariki dunia jana baada ya kupata matatizo ya Pumzi. https://youtu.be/sleJYIPTtAE

SIMU.TV:  Katibu mkuu wa Chama cha Madereva yaendayo mikoani Rashid Saleh amefariki  dunia kwa kusadikika Kula chakula chenye Sumu.https://youtu.be/fh_DhC0qY2I

SIMU.TV: Chama cha Wachimbaji wadogo wa Madini Ya Tanzanite kimepinga tamko la Kamishna wa Madini Juu ya Utaratibu mpya wa Uchimbaji.https://youtu.be/qXN08oQN0mU 

SIMU.TV: Kanisa la Anglikana limesema liko tayari kuungana na Serikali ya awamu ya 5 kutokana na mwelekeo mzuri aliyoonesha Rais Magufuli.  https://youtu.be/SzRA7cG6RHA

SIMU.TV:  Mwakilishi Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema usimamizi wa miradi ya maendeleo inahitaji taaluma ili kufikia malengo ya milenia. https://youtu.be/nDl0Z0uajxw


Regards

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.