TAIFA STARS KUANZA KUKIPUTA NA ALGERIA USIKU SAA 3;15


STARS VS ALGERIA LEO BLIDA
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager leo usiku saa 1:15 kwa saa za Algeria, (sawa na saa 3:15 kwa saa za Afrika Mashariki) itashuka dimbani kuwakabili wenyeji Algeria katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018 nchini Urusi. Fuata link chini kwa taarifa zaidi
http://tff.or.tz/news/252-stars-vs-algeria-leo-bilda

TFF YATANGAZA TENDA YA MSHAURI WA ELEKTRONIKI
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), kwa kushirikiana na mzabuni wa tenda ya elektroniki benki ya CRDB, leo limetangaza tenda ya kumsaka mshauri wa mfumo wa Elektroniki (Consultant) kwa ajili ya  kupitia mapungufu yaliyopo katika mfumo wa uuzaji tiketi wa elektroniki katika michezo ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania. Fuata link chini kwa taarifa zaidi
http://tff.or.tz/news/251-tff-yatangaza-tenda-ya-mshauri-wa-elektronik
i

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI