WABUNGE WA UPINZANI WATIMULIWA BUNGENI KWA KUMFANYIA VURUGU RAIS DK MAGUFULI

 Rais Dk John Magufuli akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Tganzania wakati wa ufunguzi wa Bunge hilo la 11, mjini Dodoma, ambalo lilitawaliwa na zomea zomea kutoka kwa wabunge wa upinzani wakipinga kitendo cha kuruhusiwa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kuingia bungeni wakidai si rais.

Baada ya kuona  kelele zinazidi, Spika wa Bunge wa Bunge, Job Ndugai aliwasihi kuacha kufanya hivyo mara tatu, na kuwaamuru kutoka nje ili Rais aendelee na kazi ya kulihutubia na kulifungua bunge .

Ilibidi wapinzani hao watii amri ya Spika  hasa baada ya kuona Askari wa Bunge wakiingia kuwatoa endapo wangekaidi.
 Rais Dk Magufuli akiingia bungeni huku akisindikizwa na Askari wa Bunge. Samahani picha siyo nzuri zimepigwa kwenye TV.
 Spika wa Bunge, Job Ndugai  akiwasihi wabunge wa upinzani kuacha kufanya vurugu bungeni.
 Marais wastaafu wakiwa bungeni kusikiliza hotuba ya Rais, Dk Magufuli. Kutoka kushoto ni, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete na Amani Karume rais mstaafu wa Zanzibar.

 Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Zitto Kabwe (ACT -Wazalendo), akiwa amebaki peke yake  eneo la wabunge wa upinzani wa  Ukawa waliotimuliwakwa kufanya vurugu.

 Rais wa Zanzibar akiingia bungeni


 Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Naibu Spika, Dk Tulia Akson Mwansasu wakiingia bungeni
 Rais Dk Magufuli na Spika Nduai wakiingia bungeni




 Rais Dk Magufuli akiingia  bungeni eneo la kuhutubia

 Wabunge wa Upinzani hasa ambao wamo kwene Umoja wa Ukawa wakitoka bungeni baada ya kutimuliwa kwa kufanya vurugu.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.