WAZIRI MKUU MTEULE KASSIM MAJALIWA ATHIBITISHWA NA BUNGE KWA KURA 258

 Waziri Mkuu mteule, Majaliwa Kassim Majaliwa akitoa shukrani kwa wabunge kumthibisha bungeni Dodoma mchana huu, ambapo alipigiwa kura 258 sawa na asilimia 73.5. kura 91 sawa na asilimia 25.9 zilimkataa na kura zilizopigwa ni 351.
 Majaliwa akipongezwa na wabunge kwa ushindi huo. Samahani picha siyo nzuri zimepigwa kwenye TV

 Majaliwa akipongezwa na wapinzani


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.