Uchambuzi wa Habari Za Magazetini.

Star TV
Majenerali JWTZ wapewa wizara nyeti, Vilio na Vurugu Dar wananchi wapambana na polisi kupinga Bomoa bomoa. Pata dondoo hizi.  https://youtu.be/Ecyxg1qIVvw 

CH 10
Kashfa yazikumba MCC na Symbion, Rais Magufuli ateua makatibu wakuu wapya, Mabomu yarindima Dar. Pata dondoo zaidi  https://youtu.be/C1MBTn4g2zE

Azam TV
Maswi awa kaimu naibu kamishna wa TRA, Mama auawa na mwanaye, Mazembe, Grnk zashika ulaji wa Samatta Ulaya, Pata dondoo hapa.   https://youtu.be/wAiVpqSPzsA

TBC
Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi awaagiza wakuu wa wilaya na mikoa kuyachukulia hatua makampuni yanayosambaza mbegu za pamba mbovu   https://youtu.be/3tjRW21SIvI
Regards

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: press@ikulu.go.tz
Tovuti : www. ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK OBAMA,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kesho Ijumaa 01 Januari, 2016 Makatibu Wakuu na Manaibu
Katibu Wakuu walioteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wataapishwa rasmi katika
kurugenzi Mawasiliano, IKULU

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI