HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.tv: Kufuatia malalamiko juu ya utendaji na uonevu wa baadhi ya askari wa usalama barabarani haya ndio maneno ya kamanda Mpinga. https://youtu.be/fRUoB1YSRe4
SIMU.tv: Shirika la maji safi na maji taka jijini Dar es salaam DAWASCO laendelea na operesheni ya kuwakamata wezi wa maji jijini humo. https://youtu.be/TpFHesL2c1M
SIMU.tv: Watu 320 waelezwa kufariki dunia kwa ugonjwa wa Kipindupindu na wengine zaidi ya elfu 20 kuugua ugonjwa huo baada ya ugonjwa huo kuenea katika mikoa 23 nchini. https://youtu.be/PfkJ0_dUQPg
SIMU.tv: Wenyeviti na maafisa watendaji wa vijiji 3 vya Kichangani, Nzerezi na Makange wilayani Ulanga mkoani Morogoro wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa mbao 133 zilizoandaliwa kwa ajili ya kutengeneza madawati ya shule za msingi na sekondari wilayani humo. https://youtu.be/iuUF-XltKDc
SIMU.tv: Tanzania yaelezwa kupoteza zaidi ya shilingi bilioni 110 kwa mwaka kutokana na upotevu ama uvunaji wa miti usiozingatia taratibu. https://youtu.be/9enVDa0EOTE
SIMU.tv: Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Tanzania wilaya ya Kinondoni awaasa wanawake kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha wanazokopeshwa na serikali ili waweze kujikwamua na umasikini. https://youtu.be/NlAfo1_o2k8

SIMU.tv: Klabu ya Azam FC leo hii itakuwa na kibarua kigumu pale itakaposhuka dimbani kuikabili Klabu ya Esperance kutoka Tunisia. https://youtu.be/9OehTdLEZKA

SIMU.tv: Klabu ya Yanga hapo jana imeshindwa kutamba katika uwanja wa nyumbani baada ya kubanwa mbavu na Al Ahly kwa goli 1 kwa 1. https://youtu.be/hyA5HHCslzc
SIMU.tv: Tasnia ya muziki wa dansi nchini yapata msiba mkubwa baada ya kuondokewa na msaanii nguli Ndanda Cossovo aliyefariki hapo jana. https://youtu.be/wtL4vJIdQ8k

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI