HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Wadau wa uangalizi wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 waeleza kuridhishwa na uchaguzi huo licha ya dosari za hapa na pale zilizojitokeza. https://youtu.be/9NCZeMkOEiI

Simu.tv: Maafisa elimu wa manispaa ya Dodoma wahamishwa baada ya kushindwa kutemebelea shule za manispaa hiyo na baada ya kubainika kutozijua hata shule zilipo. https://youtu.be/PHj_ndpfGjs

Simu.tv: Watu wanne wamepoteza maisha baada ya kupigwa risasi kwenye tukio la ujambazi lilotokea mjini Tanga.https://youtu.be/HCKCJna1g6g

Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amemuapisha mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni na kumtaka akafanye kazi kwa bidii na uadilifu. https://youtu.be/JrySv3xplz0

Simu.tv: Wafanya kazi wa karakana ya Spring City inayomilikiwa na raia wa china nusura wampige mtu mmoja baada ya kujitwalia madaraka ya kuusemea uongozi wa karakana hiyo kufuatia wafanyakazi hao kugoma wakidai stahiki zao.https://youtu.be/44MqPMIM5BA

Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Lindi amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya lindi baada ya kushindwa kusimamia utekelezaji mradi wa banio la umwagiliaji. https://youtu.be/Xzwjl6no3Eo

Simu.tv: Ukosefu wa elimu ya bima kwa watanzania walio wengi umeelezwa kuwa chanzo cha watanzania wengi kuweka mali zao hatarini. https://youtu.be/zwD3wnDtuB8 

Simu.tv: Katibu mkuu wizara ya viwanda biashara na uwekezaji anatarajiwa kufungua mafunzo kwa wajasiriamali juu ya faida za kujitangaza kibiashara. https://youtu.be/P5BE7GWBd6M 

Simu.tv: Baada ya yanga kung’olewa kwenye mashindano ya klabu bingwa Afrika imeingia moja kwa moja kwenye kombe la shirikisho https://youtu.be/aKbMIoeuakQ

Simu.tv: Chama cha wakufunzi wa kuogelea kinatarajia kufanya uchaguzi wa uongozi wake baada ya uchaguzi huo kuahirishwa mwaka jana. https://youtu.be/CUfQx1QsinU  

Simu.tv: Arsenal itamenyanana na west brom albion usiku huu ikiwa ni mchezo muhimu sana kwa arsenal ili kujiongezea alama na kujihakikishia kumaliza kwenye nafasi nne bora. https://youtu.be/EqYFXgbkC2s

Simu.tv: Rais Magufuli aelezea kusikitishwa  kwake na taasisi zinazowatetea watu wanaotumbuliwa majipu kwa madai kuwa anawadhalilisha; https://youtu.be/8vNYduVvZd8

Simu.tv: Wasimamizi wa uchaguzi uliofanyika mwaka jana wameelezea kuridhishwa kwao na mchakato mzima wa uchaguzi licha ya kuwepo na dosari za hapa na pale; https://youtu.be/CluMhjGUzFM

Simu.tv: Jeshi la Polisi mkoani Tanga limeombwa kuwasaka majambazi waliohusika na mauaji ya watu wanne mkoani humo; https://youtu.be/SH_8z78wXSg

Simu.tv: Wananchi wa vijiji sita wilayani Karatu Mkoani Arusha waombwa kutunza misitu inayozunguka hifadhi ya mamlaka  Ngorongoro; https://youtu.be/VeCQURsIJCc

Simu.tv: Wabunge waishauri serikali kutilia mkazo katika sekta za kilimo, madini na viwanda ili kutimiza lengo la serikali kuifanya Tanzania ya Viwanda; https://youtu.be/3ou3T1BHw1I

Simu.tv: Wasiojiweza Mkoani Mwanza walalamikia kuliwa kwa misaada yao iliyotolewa na Mama Janeth Magufuli na walezi wa wasiojiweza hao; https://youtu.be/E_DsjxIs0gM

Simu.tv: TRA yafungia viwanda vitatu vinavyomilikiwa na raia wa china mkoa wa kodi wa Ilala kwa tuhuma za ukwepaji wa kodi; https://youtu.be/USEqogb1ZYk

Simu.tv: Utafiti wabaini bidhaa zinazozalishwa na wajasiliamali wa ndani zinasoko kubwa endapo zitazalishwa katika ubora; https://youtu.be/OnkQX0zNUbo

Attachments area
Preview YouTube video Kizungumkuti cha Uchaguzi 2015 Preview YouTube video Maafisa Elimu Watumbuliwa Dodoma Preview YouTube video Wanne Wafa Kwenye Tukio La Ujambazi Preview YouTube video Mkuu Wa Wilaya Ya Kinondoni Aapishwa Preview YouTube video Wafanyakazi Wa Spring City Wagoma Preview YouTube video Mkurugenzi Lidi Asimamishwa Kazi Preview YouTube video Elimu Ya Bima Changamoto Kwa Watanzania Preview YouTube video Wajasiriamali Kupata Elimu Ya Kujitangaza Preview YouTube video Yanga yaingia shirikisho Preview YouTube video Chama Cha Wakufunzi Wa Kuogelea Kufanya Uchaguzi Preview YouTube video Arsenal Kukipiga Na West Brom Usiku Huu Preview YouTube video Magufuli Awashukia Haki za Binadamu Preview YouTube video Wasimamizi w Uchaguzi Waridhishwa na Mchakato Mzima wa Uchaguzi Preview YouTube video Majambazi Yaua Wanne Tanga Preview YouTube video Wakazi wa Karatu Waombwa Kutunza Misitu Kuzunguka Ngorongoro Preview YouTube video Wabunge Waikomalia Serikali Preview YouTube video Misaada ya Mama Janeth Magufuli Yatafunwa huko Mwanza Preview YouTube video TRA Mkoa wa Kodi wa Ilala Yafungia Viwanda Vitatu Preview YouTube video Wajasiliamali Washauriwa Kuongeza Ubora Bidhaa Zao
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA