HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.tv: Watu 5 wafariki dunia jijini Dar es saalam baada nyumba yao kufunikwa na kifusi kufuatia kuanguka kwa tanki la maji. https://youtu.be/mqGlAOxECUo

SIMU.tv: Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu yatembelea miradi mbalimbali mkoani Mbeya inayotumia fedha za serikali na kutoridhishwa na jinsi ilivyotekelezwa na hasa miradi hiyo kutolingana na fedha zilizotumika.https://youtu.be/_02iWpkyxdA

SIMU.tv: Rais John Magufuli akemea vitendo vya utoaji na upokeaji wa rushwa vinavyofanywa dhidi ya magari makubwa yanayosafirisha bidhaa kutoka bandari ya Dar es salaam kwenda katika nchi za maziwa makuu.https://youtu.be/wqmA93030lk

SIMU.tv: Serikali yasema itahakikisha inasimamia maadili ya viongozi wa umma na kuwafanya viongozi hao wawajibike kwa maslahi ya taifa. https://youtu.be/E47WG0EByms

SIMU.tv: Serikali imewasilisha mapendekezo ya mpango wa kiwango cha ukomo wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2016 /2017 pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka ujao wa fedha. https://youtu.be/wQGdyQH_Qkc 

SIMU.tv: Watu 5 wafariki dunia mkoani Singida baada ya kuangukiwa na nyumba wakati wamelala usiku kufuatia mvua kubwa zinazonyesha. https://youtu.be/6sU5B-J7vUE

SIMU.tv: Uteuzi wa Hamad Rashid na wagombea urais wengine kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar wapokelewa kwa hisia tofauti. https://youtu.be/6ElUvP6BkfE

SIMU.tv: Baadhi ya wakazi wa kata ya Kibamba jijini Dar es salaam walalamikiwa hatua kubomolewa nyumba zao bila ya kupewa taarifa kutoka mamlaka husika. https://youtu.be/yB4Yng1y90k

SIMU.tv: Serikali yasema haitasita kumchukulia hatua mtumishi yeyote wa umma atakaye kiuka maadili ya utumishi kwa kujiingiza katika vitendo vya rushwa, ufisadi na ubadhilifu wa mali ya umma kwa kuliingizia taifa hasara.https://youtu.be/gCxI4LWs3y4

  
SIMU.tv: Makamo wa Rais Samia Suluhu asema lengo la serikali ni kuona mageuzi ya kiuchumi yanayowezeshwa na ukuaji wa viwanda nchini ili kutoa ajira na kuikwamua nchi kutoka kwenye umasikini. https://youtu.be/SYALu0_1p2o

SIMU.tv: Wananchi wa Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani walaani vikali vitendo vya ubabe, lugha za matusi na kejeli zinazofanywa na maafisa wa Tanroads wakati zoezi la bomoa bomoa linaloendelea. https://youtu.be/2Hja5gD1_lM


SIMU.tv: Changamoto ya upatikanaji wa damu salama nchini yaelezwa kupungua kwa kiasi kikubwa baada ya mpango wa ukusanyaji wa damu kuvuka lengo. https://youtu.be/O8WP3SNp1YI
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA