LANCET TANZANIA LIMITED YAWAPIGA MSASA MADAKTARI NA WAUGUZI HOSPITARI YA RUFAA YA MKOA WA KILIMANJARO,MAWENZI




Dkt Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa vipimo kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa wengi wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi. Kaimu Mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Josephat Bniface akizungumza jambo katika warsha hiyo ya siku moja iliyoenda sanjari na ufunguzi wa maabara ya kisasa ya Lancet iliyofunguliwa mjini Moshi.
 Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.
 Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Dkt  Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.