MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kushoto) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi,, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama  wakipongezwa na wabunge baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma jana.
 Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Stelah Manyanaya (kushoto) na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuingia bungeni Dodoma.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

 Wabunge wakiingia bungeni mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Sophia Mwakagenda (Chadema), Lucia Mlowe (CCM) Na Mary Muro (CCM).
 Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kimataifa na Kikanda, Dk. Susan Kolimba wakiwa viunga vya Bunge tayari kuingia bungeni, Dodoma

 Wabunge wakiingia kihudhuria kikao cha bunge mjini Dodoma
 Wananhabari  habari Mwakalinga (kushoto) na Sakina wa Redio Uhuru wakiingia bungeni Dodoma
 Wajumbe wa Chama cha Kutetea Haki za Wazee wakiwa bungeni Dodoma kutaka kuonana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuzungumzia haki zao.
 Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe akijibu maswali

 Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Godbless Lema akiuliza swali
Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe akitoa hoja bungeni
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)

PICHA:NYOKA AINA YA CHATU AUWAWA KANISANI BAADA YA KUKUTWA NYUMBANI KWA MFANYABIASHARA MAARUFU JIJINI ARUSHA AKISADIKIWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA