SENDEKA ATINGA SINGIDA KUPITIA HANANG

 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi alipowasii Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani  Manyara akiwa njioni kwenda Singida leo
 Katibu wa CCM wilaya ya Hanang, Kajoro Vyohoroka akimpeleka Ofisini, Msemaji wa CCM Ole Sendeka baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang leo akiwa njiani kwenda Singida
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM  wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka
 Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM  wilaya hiyo, Kajoro Vyohoroka na kushoto ni Mjumbe wa NEC wa Kigoma, na Ofisa katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda
 Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana kwa bashasha na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Manyara, alipowasili kwenye ofisi ya CCM ya wilaya hiyo leo
 Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na viongozi wa CCM wa Wilaya ya Hanang, alipofika kwenye ofisi hiyo akiwa njiani kwenda Singida leo 
 Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi ya viongozi wa CCM alipowasili leo, Ofisi ya CCM mkoa wa Singia akiwa katika ziara ya kikazi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.