4x4

VIAPO VYA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA


SIMU.TV: Makatibu tawala 12 wa mikoa mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni wala kiapo cha utii katika ukumbi wa ikulu jijini Dar es salaam,https://youtu.be/guRxoM-cLOw

SIMU.TV: Ni kiapo cha utii na uaminifu katika utendaji wa kazi walizopangiwa ikiwa sambamba na utimizaji wa matakwa ya falsafa ya Hapa kazi tu. https://youtu.be/_CJ6gf8z5Uc

SIMU.TV: Makatibu tawala wapya watia saini fomu maalumu ya maadili ya utumishi wa umma ikiwa na makubaliano ya kuthibitisha kiapo chao.https://youtu.be/S6ejcieHWt8.

SIMU.TV: Makatibu tawala walioapishwa hii leo watoa ahadi ya uadilifu kuwa hawatakwenda kinyume na kiapo walichokula mbele ya rais Magufuli.https://youtu.be/UodKu4-PqTU

Post a Comment