WAZIRI MAVUNDE AONGOZA BONANZA LA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI LILILODHAMINIWA NA NSSF

 Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, akishiriki katika mchezo wa kufukuza kuku, wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa udhamini wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).


Afisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bi. Aysha Sango (kushoto), akikabidhi zawadi ya fulani kwa mmoja wa wanachama wapya waliojiunga na shirika hilo, wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya mahali pa kazi lililodhaminiwa na NSSF.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde, akimkabidhi, Nahodha wa NSSF, Pili Mogola, kombe la mshindi wa kwanza wa Netiboli, wakati wa Bonanza la Usalama na Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam juzi.

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde (kulia) na Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, wakishiriki kufanya mazoezi wakati wa maadhimisho ya Bonanza la usalama na Afya mahali pa kazi lililodhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dar es Salaam juzi.
 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde (kulia) na Mtendaji Mkuu Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Dk. Akwilina Kayumba, wakishiriki kufanya mazoezi wakati wa maadhimisho ya Bonanza la usalama na Afya mahali pa kazi lililodhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dar es Salaam juzi.

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Bw. Anthony Mavunde (aliyesimama katikati), akizungumza na wachezaji wa timu za Netiboli za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), wakati wa Bonanza la usalama na Afya hahali pa kazi lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa udhamini wa NSSF
 Baadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam, wakishiriki katika zoezi la kujaza fomu za kujiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa ufadhili wa NSSF.
 Maofisa na askari wa Jeshi la Zimamoto na ukoaji, wakishiriki katika mchezo wa kuvuta kamba, wakati wa Bonanza la Usalama wa Afya hahali pa kazi lililodhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dar es Salaam juzi.
 Wachezaji wa timu ya Netiboli ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakishangilia baada ya kutwaa kombe wakati wa bonanza la Usalama na Afya mahali pa kazi, lililofanyika Dar es Salaam juzi na kudhaminiwa na NSSF.


Mshambuliaji wa timu ya soka ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ali Chuo (kushoto), akimiliki mpira mbele ya mlinzi wa timu ya Wizara ya Kazi, Abdallah Sanga, wakati wa Bonaza la Usalama na Afya mahali pa kazi lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa udhamini na NSSF.

Maofisa na Wafanyakazi wa Mamlaka ya ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), wakishiriki katika mchezo wa kuvuta kamba, wakati wa Bonanza la USalama wa Afya mahali pa kazi lililofanyika Dar es Salaam juzi kwa udhamini wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF).

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.