HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Licha ya serikali kuamua kuagiza kiasi kidogo cha sukari kutoka nje lakini bidhaa hiyo imeendelea kuwa adimu mpaka kufikia kiwango cha kugombaniwa kwenye maduka inakopatikana bidhaa hiyo. https://youtu.be/plZTPmn3534  

Wananchi katika wilaya ya Rorya walalamikia kitendo cha wafanya biashara kupandisha bei ya sukari.https://youtu.be/ZuZfZd36S3I

Mahama kuu imetupilia mbali rufaa iliowekwa na mwendesha mashtaka wa serikali  DPP dhidi ya kufutwa kwa shitaka la utakatishaji wa fedha lililokua likimkabili aliyekua kamishna wa TRA Hary Kitilya na wenzake.https://youtu.be/6fVtMwQB3UE   

Rais Dr John Pombe Magufuli ameagiza wafanyabiashara wote waliohodhi sukari kwenye maghala yao kuanza kuisambaza mara moja. https://youtu.be/Q6E_TDsyzx0  

Wakala wa barabara ya mradi wa mabasi yaendayo kasi amesema kutokuzingatia sheria za barabarani kumesababisha kutokea kwa ajali za mara kwa mara wakati mabasi ya kwenda kasi yakifanya majaribio. https://youtu.be/62upRG6wI-E  

Wananchi mkoani Manyara wametoa kero zao mbele ya Rais walipomzuia akiwa njiani kuelekea mkoani Arusha.https://youtu.be/wsirZ2L23p0   

Wananchi wameombwa kuwafichua wezi wa betri za minara ya simu baada ya wizi huo kushika kasi siku za karibunihttps://youtu.be/1aMbAeg0XOo

Jeshi la zima moto limefanikiwa kuokoa jingo la hifachi ya jamii la NSSF liloshika moto majira ya jioni na kuteketeza chuma kimoja kwenye majengo yanayounda Mwalimu Nyerere Pension fund. https://youtu.be/_wVIo3-UvJE  

Mamlaka ya mapato TRA imefanikiwa kukusanya zaidi ya trilioni moja kwa mwezi april https://youtu.be/fMXHnhVl5XE  

Zaidi ya wanufaika 400 wa mpango wa kaya maskini wa TASAF kutoka kigoma wameeleza kutokua na imani na mwenyekiti wao anaehujumu mpango huo https://youtu.be/k8b6OB1VH5M  

Wafanyabiashara hapa nchini wametakiwa kuchangamkia fursa za kibiashara nchini Mauritius baada ya kuzinduliwa kwa safari za anga kati ya Tanzania na Mauritius. https://youtu.be/6l-rW7df60E

Shirikisho la soka la dunia FIFA limeipiga faini klabu ya Simba kutokana na kukiuka masharti ya mkataba dhidi ya aliyekua mchezaji wake Donald Musoto. https://youtu.be/_YiKGiabcpw   

Timu ya Yanga inatarajia kucheza mchezo wake wa kombe la shirikisho dhidi ya Esperanza ya Angola katika uwanja wa taifa hapo kesho. https://youtu.be/-HnVwnQyKiE  

Chama cha riadha nchini kimepokea msaada wa vifaa kwa ajili ya marathoni ya watoto wenye umri chini ya miaka 16 kutoka Azania Bank. https://youtu.be/p48bTKcUmkE  

Mchezaji nyota wa tenisi Andy Muray amefuzu kwenda fainali baada ya kumfunga Thomas Bredich wa jamhuri ya Czech.https://youtu.be/196bzVaVog4

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam watoa maoni yao juu ya kupanda kwa bei na kuadimika kwa bidhaa ya sukari nchini; https://youtu.be/PWZ_rprIz3c

Rais Dkt Magufuli atoa agizo kwa wafanyabiashara wote nchini walioficha sukari na kuanza kuiuza kwa wananchi vinginevyo serikali itachukua mkondo wake ikiwa ni pamoja na kuigawa bure; https://youtu.be/HaARk2khW3k

Jengo linalomikiwa na mfuko wa hifadhi ya jamii NSSF Lawaka moto jijini Dar es salaam; https://youtu.be/4dusMOZ7qoI

Wakazi wa kijiji cha Nahama wilayani Kilwa mkoani Lindi walalamikia kukosa kwa maji safi na salama kitu kinachowasababishia kuugua magonjwa mbalimbali; https://youtu.be/aXPqtlXZDNA
Halmashauri ya manispaa ya Ilala mkoani Dar es salaam  yawapa siku 2 wafanyabiashara ndogondogo mjini maarufu kama Wamachinga waweze kuondoka Kariakoo na pembezoni mwa mabasi ya mwendokasi;https://youtu.be/tDUsagsRtIE

Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji amesema lengo la serikali ya awamu ya tano mi kuhakikisha nchi inakuza viwanda vya ndani na kuhakikisha nchi inauza bidhaa nje; https://youtu.be/ZXSr8SlR-00
Waandaaji wa vipindi vya elimu kwa umma kwa radio na televisheni wameombwa kuandaa vipindi vinavyowagusa wakazi wa vijijini na sio kuangalia maisha ya mjini tu; https://youtu.be/w7YAV_3hM6E
TAKUKURU Yatii agizo la Rais Dkt John Magufuli la kuanza kufuatilia na kuwabaini wafanyabiashara wote walioficha sukari majumbani kwao na kuahidi watatoa taarifa hivi punde; https://youtu.be/1pW7USFhBCg
TRA yafikia asilimia tisini ya lengo iliyojiwekea katika ukusanyaji wa kodi nchini; https://youtu.be/BdaSKWrBa_g
Chama kikuu cha ushirika mkoani Shinyanga chawataka wakulima kuacha kuchanganya tumbaku yenye ubora na isiyo na ubora ili kukuza soko la zao hilo; https://youtu.be/IWgycIRczWA
Tokea mradi wa mabasi yaendayo kasi uanze kufanya majaribio yake katika njia za mabasi hayo, jumla ya ajali 14 zimetokea zikihusisha Daladala na Bodaboda; https://youtu.be/ZmHcIDDIMro
Shirika la Bima la Zanzibar ZIC na Benki ya watu wa Zanzibar PBZ zatoa misaada kwa wahanga wa mafuriko Mwanakwelekwe; https://youtu.be/n1cSpohMMtg
Mmiliki wa kinywaji cha Trevo Mark Steven anatarajia kutoa mafunzo kwa wasambazaji wa bidhaa hiyo hapa nchini;https://youtu.be/QYwqwDDABLE
Benki ya Stanbic nchini yazindua kadi ya kufanyia miamala ya Platinamu yenye uwezo wa kutoa popote ndani na nje ya nchi; https://youtu.be/yhj_lQTli_o
Yanga ya Kimataifa kesho watashuka dimbani kuwavaa timu kutoka nchini Angola ya Sagrada Esperenca katika mashindano ya shirikisho barani Afrika; https://youtu.be/amKvm3f2ObA
Uongozi wa klabu ya soka ya Azam umekanusha taarifa zilizoenea kuwa kocha wao Stewart Hall ataondoka katika klabu baada ya kumalizika kwa ligi kuu mwaka huu; https://youtu.be/WM9Tv1gFf2U
Kocha wa klabu ya soka ya Liverpool Jurgen Klopp amesema timu yake imeongezeka morali baaada ya kuwafunga timu ya Villareal katika michuano ya Europa; https://youtu.be/bW_lEbiUnHA
Winga wa klabu wa Arsenal na timu ya taifa ya Uingereza Alex Chamberlain aondolewa rasmi katika mashindano ya Euro baada ya kukumbwa na majeruha; https://youtu.be/3-cWacR00qk
Matajiri kutoka nchini China wanaweza kununua timu za mjini Milan nchini Italia kitu ambacho kinaweza kumvutia mshambuliaji wa PSG Zlatan Ibrahimovic ambae bado hajui atacheza wapi soka msimu ujao;https://youtu.be/J_pZt5DIb7A

Attachments area
Preview YouTube video Sukari Yagombaniwa Madukani Preview YouTube video Sukari Haishikiki Rorya Preview YouTube video Mahakama Yatupilia Mbali Rufaa Dhidi Ya Kitilya Preview YouTube video Rais Atoa Agizo Kuhusu Sukari Preview YouTube video Changamoto Mabasi Ya Mwendo Kasi Preview YouTube video Wananchi Manyara Walia Mbele Ya Rais Preview YouTube video Wizi Wa Betri Za Minara Ya Simu Preview YouTube video Jengo La NSSF Laungua Moto Preview YouTube video TRA Yakusanya Trilioni Moja Preview YouTube video Mwenyekiti Ahujumu Mpango Wa TASAF Preview YouTube video Safari Za Anga Kwenda Mauritius Zazinduliwa Nchini new Preview YouTube video FIFA Yaikomoa Simba Preview YouTube video Yanga Kuingia Uwanjani Kesho Preview YouTube video Azania Bank Yatoa Msaada Preview YouTube video Muray Afuzu Fainali Preview YouTube video Wananchi Walalamikia Kupanda kwa Bei ya Sukari Nchini Preview YouTube video Magufuli Kugawa Sukari Bure Kwa Wananchi Preview YouTube video Jengo la NSSF Lawaka Moto Preview YouTube video Wananchi Mkoani Lindi Waiomba Serikali Maji Preview YouTube video Wamachinga Wapigwa STOP Kariakoo Preview YouTube video Serikali Yasisitiza Kuboresha Mazingira ya Wafanyakazi Viwandani Preview YouTube video Waandaaji wa Vipindi Vya Elimu kwa Waombwa Kufokasi Vijijini Preview YouTube video TAKUKURU Yaingilia katiSakata la Sukari Nchini Preview YouTube video TRA Yaongeza Kasi Ukusanyaji wa Mapato Preview YouTube video Wakulima wa Tumbaku Shinyanga Watakiwa Kuongeza Umakini Preview YouTube video DART Walia na Daladala Pamoja na Bodaboda Preview YouTube video ZIC na PBZ Watoa Misaada kwa Wahanga wa Mafuriko Zanzibar Preview YouTube video Rais wa Trevo Kutoa Elimu Nchini Preview YouTube video STANBIC Benki Yazindua Kadi Mpya Preview YouTube video Yanga Kutupa Karata Nyingine ya Kimataifa Hapo Kesho Preview YouTube video Stewart Hall Bado Yupo yupo Sana Azam Preview YouTube video Klopp wa Liverpool Asema Wako Fiti Kwa Fainali Preview YouTube video Chamberlain Kuikosa Euro 2016 Preview YouTube video Zlatan Ibrahimovic Anawasubiri Wachina Waamue Tu
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NDANI YA CHAKE CHAKE,MKOA WA KUSINI PEMBA LEO.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

TFF YATANGAZA MAJINA YA WACHEZAJI 30 WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA MSIMU HUU

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA