4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV: Fahamu  mengi kutoka kwa mratibu wa mtandao wa elimu Tanzania akikujuza  kuhusu wiki ya elimu na uwezeshaji  shirikishi  katika elimu: https://youtu.be/bsdzeZ4jmO4

SIMU.TV: Jifunze mambo  mbalimbali  yatakayokujenga  kutoka kwa wadau wa  TAMWA wakikuelimisha kuhusu suala la mirathi:https://youtu.be/RdgvGVgcZ-g

SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka mkuu wa idara ya mawasiliano East African Community Youth akikujuza kuhusu  vijana na utaifa wao:https://youtu.be/CInOKpzLjXA

SIMU.TV: Mfanyabiashara 1 mkazi wa Arusha amekamatwa na jeshi la polisi akiwa na kilo 350 za sukari.     https://youtu.be/fGUMsvBkffo

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla amesitisha shughuli zote za kibinadamu zinazofanywa na watu waliovamia uwanaja wa ndege wa zamani wa Mbeya.   https://youtu.be/YBTUsWl21zM

SIMU.TV: Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemtia mbaroni msimamizi wa kivuko cha Kamanga kwa tuhuma ya kukaidi amri halali.      https://youtu.be/AyxXHtVN50U

SIMU.TV: Wananchi wametakiwa kuchangamkia huduma ya kuunganishiwa huduma ya maji kwa malipo ya baadaye toka DAWASCO.   https://youtu.be/9_SbTCi1VbE

Post a Comment