4x4

HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa  katibub mkuu wa baraza la vijana Chadema  akikujuza  kuhusu nafasi ya vijana katika vyama vya  siasa : https://youtu.be/lqfzaaJ9kx4

SIMU.TV: Fahamau mengi kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya kisiasa na kijamii  akikujuza kuhusu  ugunduzi  na ubunifu wa kiteknolojia  kwa vijana : https://youtu.be/deMkfqXJE9o

SIMU.TV: Yajue mambo mbalimbali  kuhusu tamasha la shirikisho la vyuo vikuu  na taasisi ya elimu ya juu kutoka visiwani Zanzibar: https://youtu.be/V9TLvwqxB0U

SIMU.TV: Club ya soka ya Azam FC imeingia mkataba wa miaka miwili na kocha  muhispania kwa  ajili ya kuifundisha timu hiyo na kutetea kombe la kagame: https://youtu.be/jQX2GUB5ezQ

SIMU.TV: Kocha mkuu wa timu ya soka ya Tanzania Taifa stars ametangaza kikosi cha wachezaji 27 kinachotarajia kumenyana na timu ya Kenya: https://youtu.be/3x0L1tLyfiI

SIMU.TV: Balozi wa Oman visiwani Zanzibar Ally Abdulrashid afariki dunia kwa shinikizo la damu na mwili wake kusafirishwa kuelekea Oman; https://youtu.be/98GbtIv06WQ

Post a Comment