4x4

MATUKIO KUTOKA BUNGENI MIJINI DODOMA

B1Mbunge wa Jimbo la Muleba Kusini  Mhe.Profesa Anna Tibaijuka na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashilila wakibadilishana mawazo leo mjini Dodoma .
B2Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini  Mhe. Zitto Kabwe akichangia mjadala wa hoja  ya hotuba ya bajeti ya Wizara ya Viwanda , Biashara na Uwekezaji  leo mjini Dodoma.
Picha na MAELEZO-Dodoma.
Post a Comment