4x4

MKURUGENZI WA TAASISI YA BASILLA MWANUKUZI FOUNDATION ASHIRIKI MAPOKEZI YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU

bas1

Mkurugenzi wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998 akipokea mwenge  wakati wilaya ya Kinondoni ilipopokea mbio za mwenge wa uhuru pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi  wa kinondoni  kwenye uwanja wa shule Bunju jijini Dar es salaam.
bas2Mkurugenzi wa taasisi ya Basilla Mwanukuzi foundation na Miss Tanzania 1998 aungana na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pamoja na viongozi wa vyama na serikali na wananchi  wa kinondoni katika kuupokea Mwenge wa Uhuru 16/05/2016 kwenye uwanja wa shule bunju
bas3
Post a Comment