PICHA LUKUKI ZA MATUKIO BUNGENI DODOMA

 Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Goodluck Mlinga ambaye alisababisha wabunge wanawake wa upinzani kutoka bungeni wiki iliyopita kwa madai ya kuwadhalilisha,akichangia hoja bungeni Dodoma jana, ambapo alieleza kwamba amekuwa akipata vitisho lakini ana imani Jeshi la Wananchi Tanzania lililowasambatisha  waasi wa DRC Congo M23 litamlinda. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema akichangia hoja bungeni wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
 Wabunge wakiingia bungeni Dodoma  leo
 Wanafunzi wa St Peter Clever ya Dodoma wakifuatilia mwenendo wa bunge
 Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba akijibu maswali yaliyoulizwa na wabunge
 Mwigulu Nchemba akijadiliana jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
 Waziri wa  Nchi Ofisi ya Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utumishi na Utawala Bora), Angelah Kairuki (kulia) pamoja na Naibu wake, Seleman Jaffo bungeni Dodoma
 Wanafunzi wa Shule ya St. Joseph ya Rombo mkoani Kilimanjaro, wakifuatilia mwenendo wa bungeni
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalim akiwasilisha makadilio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 bungeni Dodoma leo
 Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), kushoto, akizungumza na Mbunge wa Hanang, Dk. Mary Nagu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
 Mbunge wa Viti Maalum, Kiteto Koshuma akichangia wakati wa kujadili Bajeti ya Wizara ya Afya

 Mbunge wa Kigoma Kusini, Husna Mwilima na Waziri wa Fedha na Mipango wakiingia bungeni
 Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige akiingia bungeni Dodoma
 Mbunge wa Jimbo la Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) akiwahi kuingia bungeni
Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (kushoto) akiwa na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni walipokuwa wakiingia bungeni Dodoma

0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA