4x4

YALIYOJIRI BUNGENI HII LEO.

SIMU.tv: Baadhi ya viongozi wala kiapo cha ubainifu mbele ya naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania huku hati mbalimbali zikiwasilishwa.  https://youtu.be/ZfTVZHwfz-c

SIMU.tv: Mhe. Jafo afafanua juu ya mipango ya kuhakikisha upatikanaji wa shule za awali ikiwa elimu bora ni uti wa mgongo wa maendeleo ya jamii. https://youtu.be/GhtTnP6EDyo

SIMU.tv: Mhe. Josephine Genzabuke aitaka serikali kuongeza ulinzi na vitendea kazi vya mahakama ili kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi Kigoma.  https://youtu.be/xqGvqXLKyW8

SIMU.tv: Mbunge wa kigamboni Dk. Faustine Ndugulile aihoji serikali juu ya ufufuaji wa shirika la uvuvi la TAFICO lililokufa kutokana na uendeshaji mbovu.  https://youtu.be/FFABIEOJfE8

SIMU.tv: Wizara ya maji na umwagiliaji yatoa ufafafanuzi juu ya utekelezaji wa ahadi ya mradi wa maji ya bomba mkoani Tabora yanayotoka ziwa Victoria.  https://youtu.be/5BGpPFSvHes

SIMU.tv: Mhe. Msukuma achachamaa na kuitaka serikali itoe maelezo juu ya sababu za kutoweka uzio katika mgodi wa Geita Gold Mining GGM. https://youtu.be/4jGmnKbqM4A

SIMU.tv: Mhe. Upendo Peneza aitaka serikali kutoa ufafanuzi juu ya uchunguzi wa vifo vyenye utata vya kisiasa vinavyohusisha vyombo vya dola. https://youtu.be/QlHfoMMDGZA

Regards,
Felister Joseph.
Post a Comment