HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Serikali imepokea gawio la fedha kiasi cha billioni 23 kutoka kwa makampuni ya NMB TIPPER na PUMA ikiwa ni faida iliopatikana baada ya serikali kuwekeza hisa kwenye makampuni hayo. https://youtu.be/wmLJdj-9QzQ  

SIMU.TV: Rais mstaafu wa awamu ya pili Ally Hassan Mwinyi ametembelea na kukagua mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam na kusafiri kwa kutumia basi la mwendo kasi. https://youtu.be/vnhAnnvt2jc
SIMU.TV: Shirika la umeme nchini TANESCO limesema changamoto kubwa inayolikabili ni kukosa vyanzo vya maji vya uhakika kwa ajili ya kuzalisha nishati umeme wa uhakika. https://youtu.be/19UYIM4rtp4
SIMU.TV: Mkoa wa Singida umefanya zoezi la kuwatambua madaktari bingwa walioko mkoani humo na kuunda timu ya madaktari bingwa watakaozunguka katika wilaya za mkoa huo kutoa huduma. https://youtu.be/b1cWbtZjsiI

SIMU.TV: Wakulima nchini wameshauriwa kulima kilimo mseto ili kuwawezesha kulinda ardhi pamoja na kuvuna mazao mengi ya aina mbali mabali .https://youtu.be/V_g4sl4dquk

SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mwanza amesema kuna uhutaji wa wahitimu kutoka taasisi ya taaluma ya wanyama pori kutumia mbinu za ziada kuhakikisha wanapambana na ujangili. https://youtu.be/ntalRVC8Yoc
SIMU.TV: Kampuni ya kimataifa ya ushari wa kibiashara ya E&Y imesema ongezeko la silimia 30 kwenye bajeti ya maendeleo itasaidia kukua kwa uchumi wa nchi.https://youtu.be/mxM9P3OR15M

SIMU.TV: Benki ya DTB imezindua tawi jipya la 25 kama njia ya kusogeza huduma karibu na wateja wake sehemu mbali mbali. https://youtu.be/J6sNtCkso2s

SIMU.TV: Idadi ya michango ya wanachama wa bima ya afya kwenye mfuko wa bima ya afya wa AAR imeongezeka kutokana na kuongezeka kwa wanachama katika mfuko huo. https://youtu.be/UE5m4AhbdBg

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua kitu kipya ambapo imetenga milioni mia sita kwa ajili ya kutoa zawadi kwa wateja wake.https://youtu.be/9ex3lKLQ1I8

SIMU.TV: Ukosefu wa wa vifaa umeonekana kuwa changamoto kubwa inayokwamisha ukarabati wa uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera.https://youtu.be/FPaNmbnmmPk

SIMU.TV: Timu za UMISETA na UMITASHUMTA za mkoa wa Dar es Salaam zimekabidhiwa vifaa vya michezo kuelekea fainali za taifa mkoani Mwanza.https://youtu.be/oplpVfKu-GQ

SIMU.TV: Mkoa wa mwanza unatarajia kutenga shule tatu zitakazo toa elimu ya michezo katika kuwania nafasi ya kucheza UMISETA ngazi ya taifa.https://youtu.be/fb4emQe--dA

SIMU.TV: Katika fainali kopa Amerika Brazil imetembeza kichapo kwa Haiti kwa kuwafunga magoli saba kwa moja. https://youtu.be/SKdGW2iAzw0

SIMU.TV: Wataalamu wa masuala ya uchumi nchini wamesema pamoja na bajeti kuonesha matumaini zaidi ya bajeti zilizopita lakini haiwezi kubadili maisha ya watanzania. https://youtu.be/pIEWBfXYC2w
SIMU.TV: Serikali imetakiwa kuhakikisha bejeti ya 2016/2017 inalenga zaidi kuangalia wananchi wa kawaida ili kubadilisha maisha yao kiuchumi.https://youtu.be/8eEnuJrmb8k

SIMU.TV: Chama cha wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano COTWU kimeisifu bajeti ya serikali na kusema itasaidia wafanyakazi kiuchumi.https://youtu.be/kaXAcSvp9-c

SIMU.TV: Serikali imeanza uchunguzi wa kuusaka mtandao unajihusisha na kusafirisha wasichana nje ya nchi hususani mashariki ya mbali na india na kwenda kuwafanyisha kazi zisizo na staha kama ukahaba. https://youtu.be/EDu7KsxCK7Y

SIMU.TV: Serikali imeazimia kutumi zaidi ya billion mbili katika kuhakikisha inaboresha upatikanaji wa elimu kwa watu wenye mahitaji maalumu.https://youtu.be/FCForYBTXGg

SIMU.TV: Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imezindua promosheni mpya kwa wateja wake ambapo washindi watajishindia fedha taslimu kutoka Vodacom.https://youtu.be/RsRvr3vhvN4

SIMU.TV: Wakulima binafsi wa zao la tumbaku mkoani Tabora wamelalamikia agizo la serikali la kuwalazimiasha kujiunga na vyama vya ushirika ili waweze kuuza mazo yao. https://youtu.be/igsPN_Q0Oas

SIMU.TV: Leo ikiwa ni siku ya tatu ya mfungo wa Ramadhani bei ya vyakula imekua ya kawaida kutokana na mwezi kuangukia kipindi cha mavuno.https://youtu.be/FX3LTx8_ccw

SIMU.TV: Timu ya ngumi ya JKT imeendela kufanya mazoezi kwa ajili ya mashindano ya meya yatakayo fanyika kuanzia tarehe 21.https://youtu.be/jyo_y4Zt4zk

SIMU.TV: Shirikisho la soka nchini TFF limetakiwa kuthibiti mizengwe na matatizo ya upangaji wa matokeo ili kuwezesha kuondoa migogoro kwenye michezo.https://youtu.be/mhTWfFLfIk8

SIMU.TV: Wafukuza upepo 17 kutoka mkoani Manyara wameondoka katika mkoa huo kwenda kushiriki mashindano ya mchujo wa kuwania nafasi ya kucheza Olimpiki. https://youtu.be/gQl__vEF7BQ

SIMU.TV: Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza kesho ambapo timu zaidi ya 30 zinatarajia kuingia katika michuano hiyo kutafuata ubingwa wa nchi za Ulaya.https://youtu.be/BPeXmDxRGHE

Attachments area
Preview YouTube video Serikali Yapata Gawio La Faida Kutoka NMB Preview YouTube video Mwinyi Akagua Mradi Wa Mwendo Kasi Preview YouTube video TANESCO Yakabiliwa Na Uhaba Wa Vyanzo Vya Maji Preview YouTube video Singida Yawatambua Madaktari Bingwa Preview YouTube video Wakulima Watakiwa Kulima Kilimo Mseto Preview YouTube video Mbinu Za Ziada Zahitajika Kutokomeza Ujangili Preview YouTube video Ongezeko La Bajeti Ya Maendeleo Kukuza Uchumi. Preview YouTube video DTB Yafungua Tawi La 25 Preview YouTube video AAR Yaongeza Mapato Yake Preview YouTube video Vodacom Yaja Na Kitu Kipya Kwa Wateja Wake Preview YouTube video Vifaa Changamoto Ukarabati Wa Kiwanja Cha Kaitaba Preview YouTube video UMISETA DSM Wakabidhiwa Vifaa Vya Michezo Preview YouTube video Mwanza Kutenga Shule Tatu Za Umiseta Preview YouTube video Brazil Yaichapa Haiti Kwenye Kopa Amerika Preview YouTube video Wataalamu Wasema Bajeti Haiwezi Kubadili Maisha Ya Watanzania Preview YouTube video Bajeti Haijaangalia Wananchi Wa Kawaida Preview YouTube video COTWU Yapongeza Bajeti Ya Serikali Preview YouTube video Serikali Yawasaka Wanaosafirisha Wasichana Preview YouTube video Bilioni 2 5 Kutumika Elimu Kwa Walemavu Preview YouTube video Vodacom Yaja Na Kamata Mpunga Kwa Wateja Wake Preview YouTube video Wakulima Wa Tumbaku Tabora Wakataa Ushirika Preview YouTube video Bei Ya Vyakula Bado Yakawaida Mwezi Wa Ramadhani Preview YouTube video JKT Yajiandaa Na Mashindano Ya Meya Preview YouTube video TFF Yatakiwa Kuthibiti Upangaji Wa Matokeo Preview YouTube video Riadha Kuwania Kushiriki Olimpiki Preview YouTube video EURO Kutimua Vumbi Kuanzia Kesho

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI