HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.tv: Rais Dr Magufuli amewataka watanzania kuacha kuingiza masuala ya siasa na elimu ili kuiruhusu serikali iendelee kufanya maboresho makubwa katika sekta ya elimu; https://youtu.be/fA4AZrXHTyc  

SIMU.tv: Baadhi ya wanakijiji wanaoishi vijiji jirani na sehemu kulikotokea mauaji ya watu wanane mkoani Tanga wameanza kuyahama makazi yao kwa hofu ya kuuawa; https://youtu.be/GOJwcmii-So  

SIMU.tv: Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka wananchi wa Dar kuungana na kushikamana kwa pamoja ili kutokomeza vitendo vya ujambazi nchini; https://youtu.be/7fLItpqEYuU  

SIMU.tv: Wabunge wa upinzani nchini wameonywa kutokuwanyima haki wapiga kura waliowachagua kwa kususia mara kwa mara vikao vya bunge; https://youtu.be/yG_30Xy2HiE   

SIMU.tv: Mwenyekiti wa TIDESO wilayani Misenyi akana kuhusika katika sakata la ubadhirifu wa fedha zaidi ya shilingi milioni 30; https://youtu.be/fpyOILg4NFg   

SIMU.tv: Mke wa rais mama Janeth Magufuli amewataka waangalizi wa vituo vya kulelea wazee na wasiojiweza kufikisha misaada wanayopewa inawafikia walengwa; https://youtu.be/8UFPnDpQ2NU  

SIMU.tv: Mamlaka ya mbolea nchini inafanya mabadiliko ya kanuni na sheria za kudhibiti mbolea ili kuwezesha kuenea kwa mbolea bora na kuwafikia walengwa; https://youtu.be/YPDj3stpAwU  

SIMU.tv: Mfumo wa ukaguzi wa bidhaa zinazoingia umeanza kutumika visiwani Zanzibar ili kudhibiti uingizwaji wa bidhaa feki; https://youtu.be/e94QFX4BHXg  

SIMU.tv: Mamlaka ya mapato nchini TRA imeanza kugawa mashine za EFD bure kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa nchini; https://youtu.be/72A6cjpLFzU  

SIMU.tv: Mhandisi wa masuala ya mawasiliano Zanzibar amesema kampuni ya Vodacom iangalie uwezekano kwa kampuni ya Vodacom kuuza simu za bei nafuu; https://youtu.be/I3N1OTZlYBg  

SIMU.tv: Mgodi wa Buzwagi mkoani Shinyanga wakabidhi fedha za kodi shilingi milioni 500 kwa wananchi wa Kahama kama ushuru wa mgodi huo; https://youtu.be/T-pztKcx5YA  

SIMU.tv: Mwenyekiti wa klabu ya Yanga amechukua fomu hii leo kutomba ridhaa ya kuchaguliwa tena kuiongoza klabu hiyo kwa awamu nyingine; https://youtu.be/rHqdrPSKSlY  

SIMU.tv: Shirikisho la mpira nchini TFF limesisitiza uchaguzi wa klabu ya Yanga utasimamiwa na kamati ya uchaguzi ya shirikisho hilo; https://youtu.be/vWxL9j7YDA0  

SIMU.tv: Mashindano ya michezo mashuleni UMISENTA mkoani Katavi yazinduliwa rasmi hii leo huku wahusika wakitakiwa kuibua vipaji; https://youtu.be/2-2rT5ptFmc  

SIMU.tv: Azam Media wameingia ubia wa mwaka mmoja na waandaaji wa mashindano ya mpira wa miguu ya Ndondo Cup ili kuonyesha michuano Live kwa wananchi; https://youtu.be/tvN5SLpjheQ


SIMU.tv: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amezitaka jumuiya za vyuo na wanafunzi wa vyuo vikuu kuacha kutumika na wanasiasa na kuacha kujihusisha na siasa katika maeneo ya elimu. https://youtu.be/b1E9lxfIrsE  

SIMU.tv: Ujumbe wa uangalizi wa uchaguzi kutoka jumuiya ya Ulaya umewasilisha ripoti yake juu ya uchaguzi wa Tanzania wa mwaka jana uliohusisha Tanzania bara na Zanzibar. https://youtu.be/YIeRQT4HnvY   

SIMU.tv: Upande wa utetezi wa kesi inayomkabili aliyekua kamishna mkuu wa TRA Hary Kitilya na wenzake umeomba kuharakishwa kwa upelelezi wa kesi hiyo. https://youtu.be/X63hmuJrRhA
SIMU.tv: Wilaya ya Nyang’wale iliopo katika mkoa wa Geita inakabiliwa na uhaba wa nyumba za waalimu taitizo ambalo linawafanya waalimu kuwa mbali na eneo la shule anbapo changamoto hiyo imeonekana kuzorotesha kiwango cha elimu katika wilaya hiyo. https://youtu.be/EagoADzzKzE
SIMU.tv: Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA imeombwa kuwathibiti wafanyabiashara wanaowauzia wananchi wa vijijini  simu bandia kuelekea ukomo wa simu bandia nchini. https://youtu.be/Zqg3Zgfb9Oc

SIMU.tv: Vijiji saba vya tarafa ya Sudi katika wilaya ya Lindi vilivyokuwa vikikabili na ukosefu wa nishati ya umeme sasa vimeanza kunufaika na nishati hiyo kufuatia kukamilika kwa mradi wa umeme vijijini REA  awamu ya pili.https://youtu.be/Q9WZ8cXxvfw

SIMU.tv: Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imeanza ugawaji wa mashine za EFD bila malipo kwa wafanyabiashara wa kati na wadogo kama ilivyoagizwa mheshimiwa rais. https://youtu.be/XsGDeJCrMDg

SIMU.tv: Mamlaka ya chakula na dawa nchini TFDA imefanikiwa kukamata shehena ya bidhaa zisizofaa kwa matumizi ya binadamu katika mji wa Shinyanga na Kahama ambapo zimeteketezwa kwenye dampo la mji wa Kahama.https://youtu.be/HlmEwzrKEU8

SIMU.tv: Timu ya taifa ya Taifa stars inaendelea kufanya mazoezi ikijiandaa na mchezo wake dhidi ya Misri utakaochezwa jumamosi hii. https://youtu.be/wbBlILqL1MM

SIMU.tv: Uongozi wa klabu ya Yanga umezungumzia hali ya uchaguzi kwa ujumla na azma ya kuendesha klabu hiyo bila kuingiliwa na chombo chochote. https://youtu.be/h3_wFkTJdHw

SIMU.tv: Yusuph Manji ametangaza tena kugombea nafasi ya uenyekiti katika klabu ya Yanga na kusema kuna mkakati wa kukata jina lake katika orodha ya wagombea. https://youtu.be/IO_y-8txAAo

Chama cha riadha Tanzania kinatarajia kuanza mashindano ya riadha ya nchi nzima yatakayo fanyika jijini Dar es Salaam ili kupata wachezaji watakao shiriki michezo ya Olimpic nchini Brazil. https://youtu.be/vR74-rqRKcw

SIMU.tv: Kamati ilioandaa tamasha la kimataifa la utamaduni imewashukuru wadau wote walioshiriki kufanikisha tamasha hilo na kuahidi kufanyia kazi changamoto zilizojitokeza. https://youtu.be/NGwtkrpr0_Q

SIMU.tv: Nyota wa muziki wa dansi nchini Khalidi Chokoraa amerejea rasmi katika bendi yake ya zamani ya Twanga Pepeta akitokea bendi ya Mapacha Watatu. https://youtu.be/f55QVCKB25k

SIMU.tv: Nyota wa Argentina anatarajia kupanda kizimbani kutoa ushaidi katika mahakama ya ushuru nchini Hispania kwa kosa la kukwepa kulipa kodi. https://youtu.be/IPCrf5zECnw

Attachments area
Preview YouTube video Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi UDSM Preview YouTube video Wananchi Tanga Wakimbia Makazi Kuhofia Kuuawa Preview YouTube video Makonda Awakomalia Majambazi Dar Preview YouTube video Naibu Spika Awajibu UKAWA Preview YouTube video Mwenyekiti TIDESO Akana Kufisadi Preview YouTube video Mama Magufuli Aakabidhi Misaada kwa Wazee Masasi Preview YouTube video Mamlaka ya Mbolea Kufanyia Marekebisho Sheria Preview YouTube video Zanzibar Kudhibiti Uingizwaji Bidhaa Feki Preview YouTube video TRA Yaanza Kugawa EFD Bure Dar Preview YouTube video VODACOM Wafungua Tawi Zanzibar Preview YouTube video Mgodi wa Buzwagi Wakabidhi Kodi kwa Wananchi Preview YouTube video Manji Awajibu TFF, Achukua Fomu Kugombea Tena Preview YouTube video TFF Yaibana Yanga, Yatangaza Nauli Kuwaona Mafarao Preview YouTube video Umisenta Katavi Yazinduliwa Rasmi Preview YouTube video Azam Media Kurusha Live Ndondo Cup Preview YouTube video Rais Akemea Siasa Kwenye Sekta Za Elimu Na Vyuoni Preview YouTube video Waangali Wa Uchaguzi mkuu Kutoka Jumuiya Ya Ulaya Watoa Ripoti Preview YouTube video Upende Wa Utetezi Kesi Ya Kitilya Waomba Upelelezi Uharakishe Preview YouTube video Uhaba Wa Nyumba Za Walimu Geita Preview YouTube video Kuelekea Kuzimwa Kwa Simu Bandia Juni 16 Preview YouTube video Vijiji Saba Lindi Vyapata Nishati Ya Umeme Preview YouTube video TRA Yaanza Ugawaji Wa Mashine Za EFD Bure Preview YouTube video TFDA Yateketeza Shehena Ya Bidhaa Preview YouTube video Stars Yaendelea Na Mazoezi Preview YouTube video Yanga Yaeleza Mikakati Ya Uchaguzi Preview YouTube video Manji Ajitokeza Tena Kuwania Uongozi Yanga Preview YouTube video Maandalizi Ya Olimpic Katika Riadha Preview YouTube video Wadau Waliofanikisha Tamasha La Utamaduni Washukuriwa new Preview YouTube video Chokoraa Arudi Tena Twanga Pepeta Preview YouTube video Messi Kutoa Ushahidi Mahakamani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

ALLY KAMWE AZIMIA KWA MKAPA.

RAIS SAMIA KUZINDUA MKUTANO MKUU WA 79 WA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI DUNIANI

MIGINGO KISIWA KIDOGO ZAIDI AFRIKA KILICHOGOMBEWA NA UGANDA, KENYA