MATUKIO LUKUKI YA BUNGENI DODOMA

 Mbunge wa Jimbo la Kilindi, Omari Kigua akiuliza swali kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji,bungeni Dodoma,  ambapo aliihoji serikali kwamba katika mradi HTM  unaotarajia kuwapatia maji Wilaya ya Handeni, kwamba haioni umuhimu wa mradi huo kwenda pia katika Wilaya ya Kilindi.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Mary Chatanda akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali bungeni Dodoma jana, ambapo alimtaka Waziri wa Fedha na Mipango kukata kodi kwenye mishahara ya viongozi wengine wa juu wa serikali kama ilivyoamua kukata kwenye kiinua mgongo cha wabunge.
 Mbunge wa Jimbo la Nzega, Hussein Bashe (kushoto), akijadiliana jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye kwenye viwanja vya Bunge Dodoma

 Chenge akizungumza na wabunge wa upinzani
 Mbunge wa Viti Maalumu, Catherine Magige akichangia mjadala bungeni
 Naibu Waziri, Mavunde akijibu maswali ya wabunge bungeni
 Waziri Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Naibu wake, Wambura
 Mary Nagu akiwa na Mbunge wa Segerea, Bonnah Kaluwa
 Mbunge wa Busokelo, Fred Mwakibete akiuliza swali bungeni kuhusu matatizo ya maji jimboni mwake
Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve (kushoto) akiwa bungeni
 Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage akijibu maswali ya wabunge bungeni
 Mbunge wa Viti Maalum, Amina Makilagi akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
 Mbunge wa Jimbo la Bariad, Andrew Chengei akijadliana na wabunge wa upinzani
 Mbunge wa Mtera kichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
 Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Good luck Mlinga akichangia mjadala wa Bajeti ya Serikali
 Mbunge wa Gairo, Shabiby akichangia mjadala wa bajeti na kushauri serikali kuweka mfumo mzuri wa kodi








Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.