4x4

MIJADALA YA BUNGE

SIMU.TV: Mhe. Amina  Molel ahoji juu ya mpango wa serikali kwa watu wenye ulemavu waishio vijijini ambao mara zote wanasahaulika katika mijadala;https://youtu.be/4Y2MF5mTyic

SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya fedha za ununuzi wa chakula kwa shule za bweni Hanang  ambazo hazionekani kwenye akaunti yoyote ya benki;https://youtu.be/A83vTtM8KGM

SIMU.TV:  Mhe.Dkt.Mary Nagu aitaka serikali kushirikiana na wananchi na kuongeza nguvu katika kuboresha miundombinu ya shule kongwe nchini;https://youtu.be/F4xRUxEOcY4

SIMU.TV: Mhe.Bupe Mwakangata aitaka serikali kuchukulia hatua halmashauri zitakazoshindwa kutekeleza mipango ya fedha zinazotengwa kwaajili ya vijana na wanawake; https://youtu.be/vCPjV7_30vU

SIMU.TV: Hivi ndivyo suala la ujenzi wa nyasi bandia katika uwanja wa Nyagana mkoani Mwanza lilivyopokelewa bungeni; https://youtu.be/O24prBC3tu8

SIMU.TV: Mhe. Hafidhi Ali aihoji serikali juu ya utekelezaji wa Goal Project za viwanja zinazotolewa na FIFA kwa nchi wanachama wa shirikisho hilo;https://youtu.be/VNYgXsmZdlY

SIMU.TV: Eng. Ngonyani atoa tathmini juu ya upelekaji wa minara ya mawasiliano ya simu katika jimbo la Kalenga; https://youtu.be/hKsh-Caz-lk

SIMU.TV: Haya hapa majibu ya serikali juu ya utoaji wa usafiri wa dharura wa majini kwa wananchi ili kupukana na vimbunga vya kila siku;https://youtu.be/D9TwCPDHYPA

SIMU.TV: Je serikali ina mpango gani wa kutokomeza tatizo la fistula linalowakumba hasa wanawake wa vijijini? Mhe. Ummy Mwalimu ajibu;https://youtu.be/HU7u-seSUjM

Post a Comment