4x4

NAIBU SPIKA DK TULIA ACKSON AOSHA MAGARI MEDIA CAR WASH DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akiosha gari la Mbunge wa Nanyamba, Abdallah Chikota wakati wa kampeni ya Media Car Wash ya kuchangisha fedha za kusaidia wanahabari kujiunga na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya,  kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA)Post a Comment