Uzinduzi wa Maktaba ya Kisasa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

Baadhi ya matukio yaliyojiri katika hafla ya uzinduzi wa Maktaba ya Kisasa chuo kikuu cha Dar es Salaam hii leo June 2, 2016.

Rais Magufuli  pamoja na mkuu wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam Mh.Jakaya kikwete wakiwasili katika hafla ya kuweka jiwe la msingi chuo kikuu UDSM.  https://youtu.be/S8RaCsBXkG0

Shamra shamra zatawala katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam baada ya Rais Magufuli kwenda kuweka jiwe la msingi katika chuo kikuu cha Dar Es Salaam:  https://youtu.be/Vzz-4aHusf8

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam wapiga vigelegele kwa wingi baada ya waziri wa elimu Prof.Ndalichako kutambulishwa chuoni hapo: https://youtu.be/bnz92rpKxpc

Mhe. Ndalichako aelezea kwa undani umuhimu wa ujenzi wa makataba mpya iatakavyoweza kuchangia kuinua ubora wa elimu. https://youtu.be/8eY_VBhzo8I

Hatimaye mkuu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam Mhe. Kikwete afunguka mazito katika hafla ya kuzindua maktaba ya kisasa.  https://youtu.be/5Tgg93Y0L58

Mhe. Ndalichako aelezea kwa undani umuhimu wa ujenzi wa makataba mpya iatakavyoweza kuchangia kuinua ubora wa elimu. https://youtu.be/SFN5pL2KcDg

Rais Magufuli atoa pongezi za dhati kwa rais Mstaafu Mhe. Kikwete kwa kuratibu mpango wa ujenzi mkubwa wa maktaba ya kisasa. https://youtu.be/jPO_Za-0dHA

Rais Magufuli aipongeza serikali ya watu wa China kwa kuwa rafiki wa kweli wa Tanzania na kufadhiri miradi mbalimbali ya maendeleo.https://youtu.be/0s-nWv2iu-4

Rais Magufuli atia vionjo kwa Prof. Ndalichako huku akizungumzia kwa undani sakata la wanafunzi wa chuo waliosimamishwa masomo. https://youtu.be/P5zXVxvLrC0


Regards,
Felister Joseph.
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MATOKEO YA KIDATO CHA PILI, DARASA LA SABA YATANGAZWA ZANZIBAR

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ZAIDI YA WANANCHI 500 KUSHIRIKI MAFUNZO YA MKIKITA YA KILIMO CHA PAPAI SALAMA

MKIKITA YATOA OFA KWA KILA HEKA YA PAPAI SH. MIL. 2 KUTANDAZA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI

DIAMOND AITWA NA NYOTA YAJAA GOMS

WATEJA WA NSSF DAR WATIMULIWA KWA MTUTU WA BUNDUKI

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

KAMISHNA MARIJANI AZINDUA CHAMA CHA WAFUGAJI MBWA TANZANIA (TCA)