4x4

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA BUNGENI WAKIWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI NA MABANGO

 Wabunge wa Upinzani wakitoka bungen, Dodoma leo asubuhii, huku wakiwa wamevaa mvazi meusi huku wakiwa wameshika mabango yenye ujumbe mbalimbali wakidai demokrasia ndani ya Bunge imeminywa.

Post a Comment