4x4

WABUNGE WAKIJISAINI WAPATE POSHO BUNGENI

 Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Luhaga Mpina akitia saini kujiorodhesha kwamba anahudhuria kikao bungeni Dodoma jana jioni, utaratibu ambao umeanzishwa Ijumaa iliyopita ili kuwabana wanaotia dole kwenye mashine na kuondoka. Wabunge ambao hawatajiorodhesha bungeni watakatwa posho ya siku.Anayeshuhudia ni Ofisa wa Bunge.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitia saini kujiorodhesha kwamba anahudhuria kikao bungeni Dodoma jana jioni, utaratibu ambao umeanzishwa Ijumaa iliyopita ili kuwabana wanaotia dole kwenye mashine na kuondoka. Wabunge ambao hawatajiorodhesha bungeni watakatwa posho ya siku.Anayeshuhudia ni Ofisa wa Bunge.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) 
Post a Comment