Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Coleman Msoka akiwasilisha mada katika semina ya kuwajengea uwezo wabunge wa kuisimamia vizuri serikali mchana huu mjini Dodoma.Semina hiyo imefadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa. UNDP.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Wabunge wakiwa makini kusikiliza wakati wa semina hiyo
Mbunge wa Jimbo la Tanga, Mussa Bakari Mbarouk akichangia mada wakati wa semina hiyo na kuiomba UNDP KUWAPATIA MAFUNZO ZAIDI YA UELEWA WABUNGE
Mbunge wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini akichangia hoja kwa kuiomba UNDP kuwapatia mafunzo kama hayo hata madiwani
Mbunge wa Kasulu Mjini, Daniel Nsanzugwako akichangia hoja
Wabunge wanawake wakiwa katika semina hiyo muhimu
Dk. Alex Kira akifafanua jambo alipokuwa akiwajengea uwezo

Comments