4x4

WAZIRI MPANGO AWASILISHA BAJETI YA SERIKALI YA 2016/2017

 Waziri wa Fedha na Mipango akionesha begi lenye hotuba ya Bajeti ya Serikali ya 2016/2017 bungeni Dodoma jioni hii.
 Wapinzani wakitoka bungeni huku wakiwa na mabango
 Philip Mpango akiingia bungeni Dodoma
 Mabalozi wakisikiliza bajeti
 Viongozi mbalimbali wakisikiliza hotuba ya bajeti
 Waziri Mpango akiwasilisha hotuba ya Bajeti
Maofisa wakisikiliza kwa makini hotuba hiyo ya bajeti
Post a Comment