JK AONGOZA NEC CCM ILIYOPENDEKEZA JINA LA RAIS MAGUFULI APIGIWE KURA YA UENEYEKITIKESHO

 Mwenyekiti wa CCM anayemaliza muda wake leo, Jakaya Kikwete (katikati) akiwaongoza viongozi kupiga makofi walipokuwa wakiingia kwenye kikao cha NEC Dodoma, cha kupendekeza jina la Rais John Magufuli (kushoto). Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Visiwani, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein na kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.

 Waziri Mkuu wa zamani, Salim Ahmed Salim (katikati) akizungumza na Sendeka pamoja na Fatma Said Ali


 Msemaji Mkuu wa CCM, Christopher Ole Sendeka (kulia) akijadiliana jambo na MNEC, Mwigulu Nchemba
 Chenge akifurahi jambo na Profesa Mwandosya
 Mary Nagu (kulia), akizungmza na wanec wenzie, Steven Wasira na
 Msemaji Mkuu wa CCM, Sendeka akizungmza na Mnec Andrew Chenge
 Msemaji Mkuu wa CCM, akizungmza na wanahabari Bakari Kimwanga (kushoto) wa Mtaznania na Said Mwishehe wa Jambo Leo
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa , Flatel Massay (kushoto) kutoka Mkoa wa Manyara, akinyanyua miguu ya Mnec mwenzie, Lameck Mahewa kutoka Wilaya ya Kwimba walipokuwa wakitaniana kupigana  kabla ya kikao cha NEC cha kupendekeza jina la Rais John Magufuli ili lipigiwe kura leo na Mkutano Mkuu awe Mwenyekiti wa chama hicho. Kikao hicho kilifanyika Dodoma
 Mnec Profesa Mwandosya akizunguza na Anjela Kairuki
 January Makamba akisalimiana na Mnec kutoka Pemba Zanzibar, Mohamed Abood
 Mjumbe wa NEC Mary Mwanjelwa akibusiana na Mnec mwenzie, January Makamba
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Profesa Mark Mwandosya (kulia) akizungumza na mjumbe mwenzie kutoka Mkoa wa Mbeya, Dk. Mary Mwanjelwa ambaye amechuchumaa kiheshima kabla ya kikao cha NEC cha kupendekeza jina la Rais John Magufuli ili lipigiwe kura leo na Mkutano Mkuu awe Mwenyekiti wa chama hicho. Kikao hicho kilifanyika Dodoma
Mjumbe kutoka Mkoa wa Rukwa, Aeshi akijadiliana jambo na Naibu Katibu Mkuu, Rajab Luhwavi
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI