MAMLAKA YA MAENDELEO YA BIASHARA TANZANIA ( TANTRADE) YATOA TUZO KWA MAKAMPUNI


Kaimu  Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Edwin Rutageruka  Akimkabidhi tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu wa EAG Group Imani Kajula,.Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo imeipa tuzo Kampuni ya EAG Group LTD kwa kutambua mchango wao mkubwa katika kutangaza na kuhamasisha umma juu ya Maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba) yaliyoisha wiki iliyopita. Akikabidhi tuzo hiyo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Edwin Rutageruka alisema ‘’ Leo la TanTrade ni kuchochea upatikanaji wa masoko ya uhakika na ukuzaji wa viwanda ili kuifanya Tanzania iwe fursa nyingi ya kukuza pato la Nchi na pia kutoa fursa kwa wafanya biashara wa Tanzania kukuza biasahara zao na maisha yao kwa ujumla.
Kwa upande wa EAG Group, Imani Kajula alisema ‘’ Hii ni farahi kubwa kwetu kuwa sehemu ya utafutaji ufumbuzi na kuchochea ukuaji wa biashara na hususani bidhaa za ndani kupitia utaalamu wetu wa masoko na biashara. Huu ni mwanzo mzuri unaotupa nguvu ya kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuchochea maendleo ya Tanzania

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.