MIX Rais Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wa serikali yumo pia Mrema

July 16 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa mamlaka aliyopewa amefanya uteuzi wa viongozi na watendaji wa taasisi mbalimbali za Serikali na pia amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi Tanzania.
Uteuzi huo ni kama ifuatavyo;
Augustino Lyatonga Mrema.
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Parole kwa kipindi cha miaka mitatu, kuanzia leo tarehe 16 Julai, 2016.
⦁ Augustino Lyatonga Mrema anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Mhe. Eusebia Nicholaus Munuo ambaye muda wake umemalizika.
Prof. William R. Mahalu
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
Prof. Mohamed Janabi
⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Prof. Angelo Mtitu Mapunda
⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
 Sengiro Mulebya
⦁ Ameteuliwa kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa kipindi cha miaka mitatu. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Oliva Joseph Mhaiki
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Winifrida Gaspar Rutaindurwa
⦁ Ameteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC). Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Charles Rukiko Majinge
⦁ Ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili. Uteuzi huu umeanza leo tarehe 16 Julai, 2016.
Dkt. Julius David Mwaiselage
⦁ Ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Uteuzi huu umeanza tarehe 15 Julai, 2016.
Aidha Rais  Magufuli amewapandisha vyeo maafisa 25 wa Jeshi la Polisi kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) na kuwa Naibu Kamishna wa Polisi (DCP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
⦁ Essaka Ndege Mugasa
⦁ Adamson Afwilile Mponi
⦁ Charles Ndalahwa Julius Kenyela
⦁ Richard Malika Revocatus
⦁ Geofrey Yesaya Kamwela
⦁ Lucas John Mkondya
⦁ John Mondoka Gudaba
⦁ Matanga Renatus Mbushi
⦁ Frasser Rweyemamu Kashai
⦁ Ferdinand Elias Mtui
⦁ Germanus Yotham Muhume
⦁ Fulgence Clemence Ngonyani
⦁ Modestus Gasper Lyimo
⦁ Mboje John Shadrack Kanga
⦁ Gabriel G.A. Njau
⦁ Ahmed Zahor Msangi
⦁ Anthony Jonas Rutashubulugukwa
⦁ Dhahir Athuman Kidavashari
⦁ Ndalo Nicholus Shihango
⦁ Shaaban Mrai Hiki
⦁ Simon Thomas Chillery
⦁ Leonard Lwabuzara Paul
⦁ Ahmada Abdalla Khamis
⦁ Aziz Juma Mohamed
⦁ Juma Yussuf Ally
Aidha, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wa Jeshi la Polisi wengine 34 kutoka cheo cha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) na kuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP).
Waliopandishwa vyeo hivyo ni kama ifuatavyo;
⦁ Fortunatus Media Musilimu
⦁ Goyayi Mabula Goyayi
⦁ Gabriel Joseph Mukungu
⦁ Ally Omary Ally
⦁ Edward Selestine Bukombe
⦁ Sifael Anase Mkonyi
⦁ Naftari J. Mantamba
⦁ Onesmo Manase Lyanga
⦁ Paul Tresphory Kasabago
⦁ Dadid Mshahara Hiza
⦁ Robert Mayala
⦁ Lazaro Benedict Mambosasa
⦁ Camilius M. Wambura
⦁ Mihayo Kagoro Msikhela
⦁ Ramadhani Athumani Mungi
⦁ Henry Mwaibambe Sikoki
⦁ Renata Michael Mzinga
⦁ Suzan Salome Kaganda
⦁ Neema M. Mwanga
⦁ Mponjoli Lotson
⦁ Benedict Michael Wakulyamba
⦁ Wilbroad William Mtafungwa
⦁ Gemini Sebastian Mushi
⦁ Peter Charles Kakamba
⦁ Ramadhan Ng’anzi Hassan
⦁ Christopher Cyprian Fuime
⦁ Charles Philip Ulaya
⦁ Gilles Bilabaye Muroto
⦁ Mwamini Marco Lwantale
⦁ Allute Yusufu Makita
⦁ Kheriyangu Mgeni Khamis
⦁ Nassor Ali Mohammed 
⦁ Salehe Mohamed Salehe
⦁ Mohamed Sheikhan Mohamed
Maafisa hawa wa Jeshi la Polisi Tanzania wamepandishwa vyeo kuanzia July 15 2016
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

LICHA YA UZURI WAKE MWANADADA ELIZABETH MICHAEL a.k.a LULU SI MALI KITU MBELE YA RAY, AMKWEPA KUOGOPA AIBU.

KWA HERI KAMANDA WETU ABBAS KANDORO

YANGA SC WAANZA KAZI AFRIKA LEO…WANAKIPIGA NA U.S.M. ALGER SAA 4:00 USIKU ALGERIA

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

NCHI YA URUSI NDIYO NCHI INAYOONGOZA KWA KUWA NA UBORA WA ELIMU NA VYUO DUNIANI.