4x4

MJENGO ATAKAOISHI RAIS OBAMA BAADA YA KUSTAAFY 2017

Nafahamu mtu wangu wa nguvu unatamani kujua mengi zaidi kuhusu Rais wa MarekaniBarack Obama maisha yake baada ya kuondoka Ikulu (White House) au madarakani,July 2 2016 CCN wameonesha video ya nyumba atakayoishi Rais Obama baada ya kukabidhi madaraka January 2017 na kuondoka White House.
Kupitia kituo kikubwa cha TV Marekani na Dunia nzima Rais Obama baada ya kustaafu ataendelea kuishi Washington na atakuwa akiishi katika nyumba yenye vyumba 9, nyumba ambayo inatajwa kuwa na thamani ya dola milioni 6.3 ambazo ni zaidi ya TshBilioni 13.
Cheki Video yake
Post a Comment