WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA APOKEA MCHANGO WA UKARABATI WA SEKONDARI YA LINDI ILIYOUNGUA,

j2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  Jumapili  ijayo , yaani Julai 17, 2016 anatashiriki katika  harambe ya kuchangia ukarabati na ujenzi wa maabara na madarasa ya shule ya sekondari ya Lindi ambayo yaliungua  kwa moto wiki iliyopita. Harambee hiyo amabayo itahusisha wananchi wote wa mkoa wa Lindi  watakaokuwa tayari kuchangia,  itanyika asubuhi siku hiyo.
Pichani, Waziri Mkuu akipokea mchango wa Shilingi 2,000,000 kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Anglikan  Dayosisi ya Masasi, Dkt. James Almas   mjini Luangwa  Julai 14, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. Wengine  ni viongozi wa Kanisa la Anglican Dayosisi ya Masasi, kutoka kushoto ni Katibu wa Sinodi ya Masasi, Janeth Lemula,  Padri Kenneth Mathayo,  Joyce Liundi, Canon John Burian  na   Benjamin Jaali.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.