SIMU.tv: Jeshi la polisi kanda ya Dar Es Salaam limewatahadharisha wanachi kuwa macho na masuala ya uhalifu katika sikukuu ya Eid El Fitri: https://youtu.be/Mws-P3w73E0
SIMU.tv: kamati ya ulinzi wilaya ya Bagamoyo imewaasa wananchi wanaoenda kusheherekea sikuu ya Eid El Fitri kwenye fukwe za bahari: https://youtu.be/dOUiJM15D2k
SIMU.tv: Vijana waombwa ushirikiano katika kuleta maendeleo kwa kufanya kazi kwa bidii na kupinga vitendo vya uhalifu:https://youtu.be/cBIC6M_dQKM
SIMU.tv: Rais wa Zanzibar ametembelea maonyesho wa sabasaba jijini Dar Es Salaam na amewataka watanzania kupenda bidhaa zinazolishwa nchini: https://youtu.be/eiynTllQfbI
SIMU.tv: Wageni kutoka nchi mbalimbali wanatarajia kuhudhuria katika tamasha la kimataifa la filamu Zanzibar ZIFF :https://youtu.be/9wkbaXRbs8s
SIMU.tv: Mkuu wa wilaya ya iringa ameahidi kushirikiana na wadau wa michezo ili kufufua soka na kutatua migogoro katika club ya lipuli: https://youtu.be/eGUm7IC0mAA
SIMU.tv: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya dini ya kiislamu akikufahamisha mengi kuhusu sikuu ya Eid fitri: https://youtu.be/dWrWWvkL4O4
SIMU.tv: Jifunze mambo mengi kutoka kwa mtaalamu akikuelimisha kuhusu umuhimu wa upimaji wa haraka wa ugonjwa wa ukimwi:https://youtu.be/Mf7jmCpv0j4
SIMU.tv: Tazama moja kwa moja ibada ya swala ya Eid Fitri kitaifa inayofanyika Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/VTWstnSuf4E
SIMU.tv: Waislamu nchini waungana kwa pamoja kuswali swala ya pamoja ya Eid El Fitri katika viwanja vya mnazi mmoja wakiongozwa na Mhe. Majaliwa. https://youtu.be/0DU2gE9bT64
SIMU.tv: Jamii ya waumini wa dini ya kiislamu waaswa kuendeleza mema ya mfungo wa Ramadhani na kuitukuza sikukuu ya Eid El Fitri kwa kutenda mema. https://youtu.be/VzzSbJfbVQU
SIMU.tv: Mufti mkuu wa Tanzania awataka waumini wa dini ya kiislam kutunza swaumu zao na kuendeleza mema ya mwezi mtukufu na kusaidia wasiojiweza. https://youtu.be/kQP6CaCWzTA
Regards,
Felister Joseph.
Comments