4x4

BUSU ALILOPEWA STAA DIAMOND PLATNUMZ LAZUA GUMZO MTANDAONI


Nelly
Kupitia ukurasa wake instagram, Diamond Platnumz  alikweka video akiwa na msanii starboy, Wizkid wa Nigeria huku  mrembo ambaye ni Miss Universe 2011,
Nelly Kamwelu ambae alitokea na kumpa busu Diamond Shavuni.
Post a Comment