HABARI KUTOKA TELEVISHENISIMU.TV: Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi, amefuta hati ya umiliki wa ardhi kwa kampuni ya Rockshield Quality iliyopo wilayani Misenyi mkoani Kagera; https://youtu.be/__lUEQu0X8Q SIMU.TV: Baadhi ya viongozi wa dini akiwemo mwenyekiti wa kamati ya amani mkoani wa Dar Es salaam sheikh Mussa Salum wameitaka jamii kuachana na matendo yatakayopelekea kuhatarisha amani ya nchi; https://youtu.be/7R3Jd7M_Om4 SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli ambae pia ni mwenyekiti wa jumuiya ya afrika mashariki, amekutana na katibu mkuu wa jumuiya jijini Dar Es salaam na kumuhasa anahakikisha jumuiya hiyo inabana matumizi; https://youtu.be/I9X4lHOTsBM SIMU.TV: Rais Dr John Magufuli amemkabidhi pikipiki yenye matairi matatu maarufu kama Bajaj mlemavu wa miguu anayetumia baiskeli aliyemuahidi baada ya kumuona katika taarifa ya habari; https://youtu.be/i1GQe8DO-8A SIMU.TV: Makamu wa rais Samia Suluhu, ametoa wito kwa wakadiriaji wa majengo kuepuka vitendo vya rushwa kwa kutoa viwango halisi vya majengo ili kujijengea uaminifu wa kazi yao; https://youtu.be/o9lGqggg7Ms SIMU.TV: Waziri wa ujenzi mawasiliano na uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema serikali iko katika mkakati wa mazungumzo na serikali ya China kuboresha chuo cha Usafirishaji NIT; https://youtu.be/THNXKFjGNV0 SIMU.TV: Waziri Jenista Mhagama amewataka vijana wa kitanzania kujikita katika mafunzo ya ushonaji wa nguo ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira;https://youtu.be/iZwLxZwD9t4 SIMU.TV: Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla, amesema kamwe hawezi kuwavumilia wafanyabiashara wadogo wanaofanya biashara zao sehemu zisizo rasmi;https://youtu.be/J93DKLsraxk SIMU.TV: Kampuni ya uuzaji magari ya Nissan yalalamikia kupungua kwa mauzo nchini huku sababu kubwa ikitajwa ni adhima ya serikali ya kubana matumizi;https://youtu.be/HsHEiKiyY3E SIMU.TV: Timu ya taifa ya kuogelea iliyokuwa nchini Brazil kushiriki mashindano ya Olimpiki imerejea nchini hii leo huku wakiahidi kufanya maajabu katika mashindano yajayo; https://youtu.be/xLBVGjf1GMc SIMU.TV: Kikosi cha timu ya vijana Serengeti boys kimeingia kambini kujiandaa na mchezo wa marudiano na timu ya vijana ya afrika ya kusini utakaopigwa uwanja wa Azam Complex Chamazi; https://youtu.be/-rNQ_J4ha7A
0

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIVI NDIVYO BIASHARA YA NGONO NAMNA INAVYOTIKISA MOROGORO: SEHEMU YA PILI.

DC MJEMA AONJA ADHA YA MAFURIKO AKIKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO ILALA

DC MKURANGA AZINDUA MRADI WA MASHAMBA MJI YA NAMAINGO MSOLWA

TGGA WAMUAGA BOSS WA GIRL GUIDES AFRIKA KWA HAFLA KABAMBE

WAPENZI WANASANA WAKIFANYA MAPENZI GESTI

ANGALIA PICHA NDEGE KUBWA YA ABIRIA DUNIANI ILIYOANZA SAFARI NDEFU ZAIDI!

IJUE HISTORIA YA UHASIMU WA KOREA KASKAZINI NA MAREKANI

Wasafi TV kuanza kurusha matangazo yake leo (+video)

WAGGGS AFRIKA WAIPONGEZA TGGA KWA KUONGOZA AFRIKA KUSAJILI GIRL GUIDES WENGI